Wadada kibao wapo huko saudi arabia kama ma house girl wanalalamika tu waarabu hawana utu kwa mtu mweusi
Swali la maanambona hawarudi?
PointUkifika Saudia, Kuwait, Qatar, Oman l, Bahrain na UAE (Dubai, Sharjah ama Abu Dhabi) utakubali kuwa zile nchi zimebarikiwa. Mfanya usafi Msikitini analipwa yapata 5m TZS Kwa mwezi (na hakuna Kodi).
View attachment 2498632