Uasi mkubwa unakuja CCM

Ishu ni moja tu fikra ya kisiwa kutawala imekuwa ni hoja kuu. Watu wale wamekuwa wakitamani kukaa madarakani muda mrefu leo wamepata nafasi patachimbika.
 
Marekani ni bara ambalo limeamua kuwa nchi moja. Mfumo wa uendashaji wa serikali marekani na tz ni mfano wa mbingu na ardhi.
 

USA haijawahi kujengwa na Mwanamke, kwanza hata kupiga kura Wanawake wameanza kuruhusiwa miaka ya 60‘ hata Ulaya pia Wanawake walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura.

Labda nikuulize ulishaona General wa Jeshi Mwanamke Dunia hii anayeongoza vita dhidi ya Adui ?
 
Hujaelewa we umesema Markel ame triger kuanguka kwa germany japo hukusema ila mimi nikajua unamaanisha kuruhusu muingiliano wa hao wahamiaji toka huko wanakokimbia. Ndiyo maana nikakupa.mfano wa US kujengwa na watu toka mataifa tofauti si kukupa mfano ya US kuongozwa na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…