Ubabaishaji huu wa airtel umenihamisha huku!

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Siku zote kuna vitu vinakera lakini kumpuuza mteja kwenye ni Tatizo lenye kuumiza Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa mtandao wa Airtel lakini nimeamua kuhama rasmi hawajali kabisa wateja wao. Kuanzia huduma za Network na kwenye Airtel Money ni mizinguo mitupu!

Angalia wateja wenu wanavyolalamika nimegundua sio mimi mwenyewe ni Ubabaishaji tu kama vitu vidogo vinawashinda si kwenye kugawa share za Hisa mtaweza kweli?



Wapo watu wengi wanaowalalamikia na hamuonekani kubadili muelekeo wa kazi zenu hata kidogo.
 
Mimi leo nimeumizwa sana baada ya kuonajina nililosajiria simu kutoka jina tofauti na jina langu lain ninayo miaka zaidi ya miaka nane eti jina limebadilka maajabu ya kimtandao haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…