Ubabe wa Wenye Pesa Wajitokeza?

Makaayamawe

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
341
Reaction score
9
Sikumbuki kuwaona hawa wenzetu wakishiriki jeshi la ulinzi au angalau kwenye upolisi. Lakini wametawala nchi kiuchumi kiasi cha kupata kiburi cha kubadili hata majina ya mitaa bila kujali wazawa watakuwa na hisia gani. Angalia picha hapo chini;

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…