Mzee, ubachela kipaji au dude halisimami? Nitajie unapoishi nije kutest ducherere.
Kareeebuni Wakuu Futari Haya Ndio Maisha ya Ubachela
Nimeona sio Issue kula kwa mama ntilie futari Kwani sitapata Nikipendacho
Nakinacho stahili .
Hivyo Nimeingia mwenyewe Ulingoni Kutengeneza futar
Nawakaribisha Wakuu
Ubachela kipaji
Ila nimshukuru Mama chibudee.
Kwakutonilea kimayai
Naweza fanya vitu vya studio hata bila ya mke Hope Nitakae muoa Atakula bata kiasi chake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23]q[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mzee Ngoma Inasimama tena Mechi Dakika 90 Nipo msasani Mkabala na Ubalozi Wa marekaniMzee, ubachela kipaji au dude halisimami? Nitajie unapoishi nije kutest ducherere.
Ipo vzuri aisee
Kareeebuni Wakuu Futari Haya Ndio Maisha ya Ubachela
Nimeona sio Issue kula kwa mama ntilie futari Kwani sitapata Nikipendacho
Nakinacho stahili .
Hivyo Nimeingia mwenyewe Ulingoni Kutengeneza futar
Nawakaribisha Wakuu
Ubachela kipaji
Ila nimshukuru Mama chibudee.
Kwakutonilea kimayai
Naweza fanya vitu vya studio hata bila ya mke Hope Nitakae muoa Atakula bata kiasi chake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenzio yupo katika mfungo ati....Mzee, ubachela kipaji au dude halisimami? Nitajie unapoishi nije kutest ducherere.
Asante mkuu npo njianMsasani Mkuu Mkabala Na embasy of America
FACT MASTAYeah ila ndoa Inahitaji Utulivu Na Mipango Sio busara Kukurupuka tu