Karibu na Embasy ndo mitaa yangu hiyo..Inawezekana nakujua mkuuMsasani Mkuu Mkabala Na embasy of America
Kwa dizaini hii kuoa bado sana,
Kareeebuni Wakuu Futari Haya Ndio Maisha ya Ubachela
Nimeona sio Issue kula kwa mama ntilie futari Kwani sitapata Nikipendacho
Nakinacho stahili .
Hivyo Nimeingia mwenyewe Ulingoni Kutengeneza futar
Nawakaribisha Wakuu
Ubachela kipaji
Ila nimshukuru Mama chibudee.
Kwakutonilea kimayai
Naweza fanya vitu vya studio hata bila ya mke Hope Nitakae muoa Atakula bata kiasi chake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuwa bachelor yataka moyo mkuu
Ndio ndio mkuuUmeonaeee lkni kuna uzuri na ubaya wake
Much respect, ulichokifanya ndio nilichokifanya since day 1, familia yangu iko safarini, naingia ulingoni mwenyewe, natoa vitu poa hadi wife mwenyewe anasubiri[emoji39] [emoji39] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Kareeebuni Wakuu Futari Haya Ndio Maisha ya Ubachela
Nimeona sio Issue kula kwa mama ntilie futari Kwani sitapata Nikipendacho
Nakinacho stahili .
Hivyo Nimeingia mwenyewe Ulingoni Kutengeneza futar
Nawakaribisha Wakuu
Ubachela kipaji
Ila nimshukuru Mama chibudee.
Kwakutonilea kimayai
Naweza fanya vitu vya studio hata bila ya mke Hope Nitakae muoa Atakula bata kiasi chake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Piga keleleee Kuzaliwa Mwanaumeeee Wanaume OyooooooooooooooooMuch respect, ulichokifanya ndio nilichokifanya since day 1, familia yangu iko safarini, naingia ulingoni mwenyewe, natoa vitu poa hadi wife mwenyewe anasubiri[emoji39] [emoji39] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Safi kabisa Uanaume KAZIPiga keleleee Kuzaliwa Mwanaumeeee Wanaume Oyoooooooooooooooo
Ooooooooooooooooooooooooooooooooo
Safi mkuuu