Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

Kuna wakati huwa nakaa nafikiria, hivi nisingekuwa na mke na watoto hizi mbilingembilinge za mara huyu anahitaji ada, yule anaumwa anatakiwa matibabu, mwingine anahitaji kiatu, mara mke naye anahitaji kuvaa , bado sijahakikiaha chakula kipo . Ningezikosa hizi harakati za design hiyo maisha yangu yangwkuwa ya kulemaa lemaa sana " labda"!!???

Kwa mwanaume ukishindwa kumudu majukumu ya familia sijui utaweza nini.

NB; kuoa & kuolewa. Ni aidha unaoa au unaolewa
 
Kweli, ukiwa na bahati mbaya watoto wanaside na mama yao wanakunyanyapaa unakuwa mpweke kuliko asiye na watoto na mke.
kuna wale wanaosema , sisi tunachotaka kwenye familia ni heshima tu sio upendo --- kundi hili lina hatihati kubwa ya kukumbana na hilo
 
Kweli, ukiwa na bahati mbaya watoto wanaside na mama yao wanakunyanyapaa unakuwa mpweke kuliko asiye na watoto na mke.
Hata hili linafanya wazee kufa na depresion ila familia zingine zina bond hadi raha, haya mambo ni hayatabiriki. Vyema kuishi katika namna ya kuwa salama zaidi, japo lolote laweza tokea
 
Presenter? Sasa mtu alioa akaona issues zake akapitia separation unahisi anatania akisema kijana usioe? Watoto hawaingii kwa equation hajasemausizae.
 
Ndoa ni hasara kwa mwanaume.
Kuwa na watoto sio lazima uoe,,
Wanawake hawana nia nzr na mwanaume,kuna siku utaelewa.
 
Ndoa ni hasara kwa mwanaume.
Kuwa na watoto sio lazima uoe,,
Wanawake hawana nia nzr na mwanaume,kuna siku utaelewa.
Kaka nisha yaona, lakini inabidi usihusishe wote, unamjua dogo bodaboda alikua anaitwa juma, alipata ajali ya pikipik, akapelekwa muhimbili, yule dogo mke wake kapambana sana Yani kapigana mpaka doggo anakata pumzi wadau wanasalute dogo alioa angekua mwingine mke kesha mkimbia
 
Tunapotoa ushauri tunaangalia uwingi wake,90% ya wanaume wanapata matatizo sababu ya ndoa.
-kupata magonjwa ya moyo
-kugawana mali
-kufa mapema sababu ya stress
-umasikini.
-hawana shukran
 
men kuoa ni muhimu lakini la muhimu zaidi ni uwe umejipanga na kujiwekeza vizuri kabla na baada ya ndoa mana mke na/ watoto mda wowote wanaweza kukusaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…