Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

Kuna ambao hawajaoa wanaishi maisha ya mateso
Wakiume bize kuwasumbua ndugu zao kuja kuwahudumia

Mwisho wa siku ni bora uwe na familia kuliko kuishi single kwa kigezo cha kufurahia maisha

Single wengi wanasumbuliwa na upweke na depression
Kama wanateseka namna hiyo unadhani kwa nini hawaoi?
 
Kwani kuwa bachelor maana yake ni kukosa watoto??

Huyo anahangaika kwa sababu hakuna anayemjali kuna familia nyingi zenye watoto kibao wenye uwezo ila haziwajali wazazi, Bado wako vijijini wanakula Ntengwa na Mkubi na kuna wengine hawana watoto wa kuwazaa ila wanaishi vizuri kwa kuwa waliishi vizuri na jamii.
 
Mkuu hakuna uhusiano wowote kati ya kuteseka uzeeni na kuoa au kutokuoa.
Kwa Sasa wapo wazee wengi wanapitia wakati ngumu sana Kwa sababu ya kunyanyapaliwa na wake zao na watoto alio wazaa na kuwahangaikia wenyewe.

Kiufupi sisi wanaume kipindi tunahangaikia familia tusijisahau sana kiasi cha kutoa Kila kitu chako Kwa ajili ya watoto na mke wako usijaribu kufanya kosa hilo.
 
Mbona wengi tu wazee wamesha fiwa na wake zao na awawezi kuoa tena ..labda hoja yako ingeongelea watoto siyo kuwa na mke .
Kwani kuna kanuni kuwa ukizeeka mke au mume wako atakuwa hai ...? Kwani haujui kuwa mume na mke ufa kwa wakati tofauti..siyo lazima wafe kwa siku moja ...wapo wazee wengi wamebaki bila ya mke baada ya wake zao kufa mbele yao..tumia akili wacha kuwa mpumbavu kama kada wa ccm
 
Hizi ni
Hizi ni Kamari hazina uhakika.
Kama sio, je hakuna wazee walio telekezwa?
 
Kujiendekeza tu. Vijana zingatieni life style yenu bado mkiwa na nguvu, ishini kwa nidhamu.
Huo ni umri wa baba yangu, na mimi ni mtoto wa pili toka mwishoni.
At 75 baba yangu yuko vibrant vibaya mnooooo anaendesha gari toka Dar mpaka Mbeya tena usiku anasafiri peke yake. Ukiingia naye kazini site anapambana mnoo anaweza fanya kazi kutwa nzima. Na sio kwamba haishi mjini.

NB
Japo kuoa napo muhimu. Ila usioe eti kuepuka kuteseka. Unaweza ukaoa na ukawa mpweke zaidi uzeeni.
 
Principal of Duality, Yin-Yang. ☯️
there is no escape roots,
ishi nao kwa akili 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…