Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

Ponda ujana kijana muda bado unao....

Mwanaume anaoa muda anaotaka!

Mwanamke anaolewa na mwanaume anaepatikana kwa muda usiojulikana

Mwanamke haamui kuolewa!
Mwanaume anaamua kuoa!
 
Hahahaa
 
Na mtoto anapata,sema stress nazoπŸ™Œ
 
Umesema ukweli kaka. Sijui tutaogeshwa na nani au tukiumwa tutaangaliwa na nani?
 
Alikuwa mzembe sana angelijitahidi hata apate mtoto. Sema nisimseme vibaya mwenyewe naona naelekea njia hiyo🀣
 
Jifunze kanuni za uashishi ni muhimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…