Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

Pengine angeoa asingetoboa 75 , uzeeni kitachokusaidia akiba uliyowekeza ujanani maana kwa maisha ya sasa unaweza kuta hata hao watoto hawana time na wewe.
 
Naona kuliko kujiongelesha sijui upweke uzeeni ,hebu tupate maoni ya huyu mzae Hoja zake .https://youtu.be/LDMY7qtOPiI?si=I7n9bsi2fyuxbS9C
 
Walikula maisha ujanani, hadai chenjni.
 
Cha kujutia hapo ni kuamua kutopata watoto hapo ndiyo shida ilipo ila kuhusu kuoa hata angeoa ndoa zinazodumu mpaka miaka 75 ni chache. Hivyo upo uwezekano hata angeoa wangekuwa washatalakiana cha muhimu angekuwa na watoto na wajukuu wa kumkumbuku.
 
Uenda ungekuwa hata haupo duniani.


Uenda ungewekeza kwenye starehe mbaya na zikachukua uhai wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…