Ubachela umenishinda, natafuta mke

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Habari

Natafuta Mke ambaye atakuwa tayari kuishi na Mimi marekani, sichagui kabila wala dini Bali ningependa mwanamke huyo awe na sifa zifuatazo :-
1.awe msafi
2.awe mrefu kiasi
3.awe na chura
4.elimu kiasi
5.aweze kuongea kiingereza
7.awe mkweli
8.awe bikra(kote)
9.asiwe mlevi
10.awe amesoma masomo ya sayansi
11.asiwe na Instagram wala Facebook.
12.awe na experience ya kazi katika taasisi yoyote ya kiserikali isiyopungua miaka mitatu
 
Electrical engineer wa PENTAGON. Unakula bata tu kwa Trump.
 
Soma kwanza hilo boom lisikudanganye ukadhani ndoa itaenda bila fedha.

Hotel menagment engineering UDSM
Hotel menagment engineering UDSM - JamiiForums
 
Kwa hiyo check list yako, ni ngumu sana kumpata huyo kiumbe. Anaweza labda akawa na nusu ya hivyo vigezo na sio zaidi ya hapo. By the way, bata ukimchunguza sana, huwezi kumla.
 
Huyo jamaa dem/mke wake kazi anayo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…