Rais shikamoo. Hongera sana kwa kazi nzuri ya ujenzi wa Taifa hili changa. Kwa kweli ndani miaka mine umeonyesha mabadiliko makubwa sana katika nchi yetu. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa afya njema ili utimizie ahadi zako zote ulizoplan kuzikamilisha.
Pamoja na juhudi zako za dhati ila bado kuna baadhi ya watendaji wako wa Serikali hawajakuelewa na kufanya mambo ya ovyo sana.
Pamoja na kujipambanua kwamba wanakusanya mapato vizuri ila bado kuna maeneo wakiyaimarisha mapatao yataongezeka sana naomba nikufahamishe baadhi ya uozo uliopo kwenye hifadhi ya ngorongoro;
- Udhaifu na upendeleo wa Menejimenti katika kufanya maamuzi
Mheshimiwa Rais Menejimenti ya hifadhi hii imakuwa inafanya maamuzi kwa upendeleo wa hali ya juu.
Wako wafanyakazi waliopewa adhabu kali kwa makosa ya kawaida ila wapo wengine wanabebwa wakati makosa yao ni mazito sana.
Mfano yuko mfanyakazi mmoja wa idara ya utumishi anaitwa Carlos Mbilo huyu kijana amefanya mambo mengi sana ya ovyo ikiwa ni pamoja na kuajiri kwa upendeleo kwa kupewa hongo ya ngono, kumpa mdogo wake majibu ya usaili na kufaulu kwa kiwango cha kutisha, kusitisha ajira na mfanyakazi mwenzake bila taratibu halali za vikao, kutoa tangazo la ajira bila kumshirikisha mkuu wa taasisi na vikao halali.
Sasa kinachoshangaza ni kwamba ametangaza ajira bila ridhaa ya uongozi na amekubali ila menejimenti imempa siku 14 za kujieleza, swali la kujiuliza hapa unampa siku kumi nane za nini wakati ameshakiri kosa?
Huyo mtu hafai kuwa kwenye hiyo ofisi nyeti ya shirika. Mweyunge nasikia una kiherehere cha kumteteta wakati wewe ndiye ulikuwa mstari wa mbele kuhakikishia Bw. Fabia Budodi anachukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kuhamishiwa Kasulu Kigoma je huyu Carlos unambeba kwa sababu gani au kwa vile amekusaidia kuingiza ndugu zako kwenye ajira kinyemela?
Mnakaa mnamsikiliza eti ametumwa na Bw. Bangu je huo upuuzi mwingize alioufanya wakati Bangu akiwa amesimamishwa kazi alitumwa na nani?
Huyu kijana ni mpuuzi sana amesbabisha baadhi ya wafanyakazi kukosa haki zao na wengine kupendelewa. Mishahara ya taaisisi hii inahitaji kufanyiwa special audit maana kuna uozo mkubwa mno na kwa kaisi kikubwa amesababisha huyo kijana.
Ntunga ni kilaza asiyejua anachokifanya na ndio maana yuko mstari wa mbele kumtetea huyu kijana mimi nawaambia jambo moja tunasubiri tuone uamuzi wenu kwa huyo mfanyakazi then vyombo vya kichunguzi kama takukuru zifanye kazi yake.
Mkishindwa kuchukua hatua Takukuru itachukua na mahakamani tutamfikisha kwa hiyo ni suala la muda tu.
- Idara ya Ukaguzi wa ndani kushindwa kutimiza majukumu yake
Idara hii imepwaya haitimizi majukumu yake kwa mujibu wa sheria. Yako mambo ya kipuuzi sana yanendelea cha ajabu idara hii ipo inaangalia.
Suala la wafanyakazi kunyimwa haki na stahiki zao limekuwa la wazi sana na hawafanyi kazi yao. Kumekuwa na double standards za kijinga na nyie mpo mnaangalia tu sasa umuhimu wenu uko wapi?
Leo hii idara ya utumishi wote wenye maamuzi wameenda kwenye michezo mwanza mambo yamesimama na wanajilipa pesa nyingi wakati wao si wanamichezo.
Ntunga amejilipa pesa kama mwanamichezo wakati ameenda amekaa siku 5 na kuondoka nyie mpo mnaona ni kawaida,
Ntunga anaishi kwenye nyumba mbili za shirika zikiwa ziko full furnished kwa gharama za taasisi ambazo zipo ngorongoro na arusha mjini ila wakaguzi hamlioni hili mnajidai vipofu.
Wakuu wa idara wanajinunulia simu za mkononi very expensive kwa gharama za shirika zikipotea au kuharibika wanajinunulia tena kwa gharama za taasisi wao ni kina nani?
Leo hii baadhi ya ofisi za mameneja wamefungiwa DStv wananunuliwa furnitures na vitu vya gharama majumbani mwao hakuna standards kila mmoja ananunua anachotaka kwa kutumia pesa za shirika.
Wako baadhi yao wamenunuliwa TV mpaka za milioni 10 nyie mpo mnaona ni kawaida tu.
Wako wakuu wa idara mfano Bw. Bikombo, Kilugha wao wanapiga pediems sometime wanajilipa mwezi mzima kwamba wako safari wakati ukweli wako ofisini haya nayo hamuyaoni.
Endeleeni kutumia udhaifu wa Dr manongi kupiga hela mkidhani mko salama nawakumbusha tu hela ya serikali hata kama ni miaka 20 italetea shida tu muulizeni Semfukwe atawasimulia.
Sisi tunaendelea kukusanya ushahidi.Mfano leo hii server ya mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya safari portal ipo kwa mtu binafsi wakati mna jengo ambalo servers za wizara zimehifadhiwa.
Kwanini nyie mshindwe kuhifadhi server yenu kwenye jengo lenu?
Mnakaa mnalaumu wakurugenzi wa bodi kwamba ni wabaya wakati nyie ndio wapumbavu msioweza timiza wajibu wenu.
Leo hii server ile ikipata matatizo ama kuibiwa mnajua ni kiasi gani mtaisababishia nchi matatizo? Kamati ya waziri Mkuu ilikuja mkaahidi kuhamisha hiyo server kabla ya mwezi wa saba ila mpaka leo haijaamishwa kwanini?
Hizo gharama nani anazilipa? Bado nawaza sana ni nani aliyempa Bikombo nafasi ya mkuu wa idara ya Tehama maana ni kihiyo kweli kweli maneno mengi mbwembwe za kihaya ila kichwani ni hewa tupu.
Sasa Maleva nakukumbusha tu hiyo idara haijawahi acha kiongozi salama hata wewe siku zako zinahesabika maana mnachuja sana taarifa kwa kuidanganya bodi na serikali kwamba mambo ni mazuri sasa nitalala na nyie sahani moja.
Ndio maana naishauri bodi ya wakurugenzi wale mameneja waliomaliza muda wao nafasi zao zitangazwe tupate watu competent badala ya kuendelea kufanya kazi na watu vilaza aina ya kina Ntunga.
- Suala la Ukabila na Ukanda
Kwa siku za hivi karibuni baada ya ujio wa baadhi ya wafanyakazi taasisi hii imeanza kuwa na suala la ukanda na ukabila.
Sasa hivi watu wanaotoka nyanda za juu kusini ikihusisha mikoa ya iringa na mbeya wamekuwa na jeuri sana na kuona shirika ni mali ya mama zao.
Angalieni mtasababisha mnyukano mkubwa sana ndani ya hiyo taasisi mfano mmesababisha baadhi ya wafanyakazi kuwa na mbwembwe za kijinga na kitoto.
Mfano mzuri ni Bw. Edson Mwikemo huyu kijana amekuwa ni mpuuzi na mshamba sana na kero kwa wafanyakazi wenzake.
Mfanyakazi anapata msiba anaenda kumuona ili alipwe hela ya rambirambi akiwa kama mweka hazina wa NGOWWA badala yake anamletea mbwembwe na nyodo zisizo za lazima.
Kijana watch out uchafu wako wote unaoufanya tunao ukiendelea tutauweka hadharani usijione wewe ndio bora kuliko wafanyakazi wenzako mtu anapokufuata kukuomba ushauri kuhusiana na NGOWWA au SACCOS msikilize kwa unyenyekevu walikuwepo wenzako wenye tabia za ovyo na kujiona wao ndo wasomi mfano Lukoba Lyambogo leo hii imebaki historia.
Tanguliza utu badala ya kuweka hela mbele mtu ana msiba anakufuata umlipe hela ya rambirambi unataka rushwa ndo umpitishie malipo yake haraka acha hiyo tabia ya ovyo na usijinyanyue mabega na kudharau wafanyakazi wenzako ukidhani hao unawaotegemea watakusaidia wakati na wenyewe wanapumulia mashine.
Maleva fundisha hawa vijana wako waache mbwembwe na ukabila maana hawatatoboa na uache kuwakumbatia maana huyu kijana anatamka wazi kwa nyodo kabisa kwamba hakuna wa kumfanya kitu sababu wewe na bangu mnamlinda sasa angalieni atawaharibia kazi nawaambia.
Edson madudu yako tunayafahamu badilika kijana na ukiendelea tutayaanika na utapata taabu sana wakati umri wako bado mdogo.
Kumbukeni haya mnayoyafanya leo yatakuja kuwagharimu siku za usomi acheni mbwembwe na heshimuni kila mtu hiyo ndo hazina yenu.
Naendelea kuwasisitiza wafanyakazi fanyeni kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu ili kuwaepushia matatizo kwenye maisha yenu.
Wabheja sana
BITALA