sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Kila niamkapo sikosi jambo la kuandika hapa jf, unawesa patwa na hisia labda kila nikilala huwa niota au la?
Najiuliza hivi wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika ofisi za umma uwa wanaiangalia picha au kuitizama picha ya Mh. Rais wetu kweli? Kama wanaitazama hawajui kama anawaona ?hivi Huwa hawashutuki?
Kama picha ipo na mnaitizama na kuishia kumuibia si ni sawa na kumg'ong'a mama wa watu? Hivi wewe unaemg'ong'a, watu uking'ong'a mama yako utajiskiaje?
Mathalani tunaposaini mikataba mbele ya Rais, halafu baadae mkataba unaoneshwa una mapungufu unajiskiaje?
Natambua kuna sheria ya kuweka picha za Pais maofisini, tafadhali nashauri bunge libadilishe sheria hii watu waweke picha za baba zao na mama zao maofisini kwao ili wanapokuwa wanafanya wizi huo basi wawe wanawatazama ma kuwang'ong'a baba na mama zao.
Nina wasi wasi mkikubaliana na mimi wizi utakuwa unafanyikia chooni na sio maofisini.
Naomba kuwasilisha.