ubadhirifu wa fedha Chuo cha mipango DODOMA (IRDP)

:rockon::rockon:umejiunga lini jamii forum napata shaka nahisi wewe ni huyo ziliona. uwe mkweli jamii forum ni mtambo wa kujirekebisha ningekuwa wewe ningebadili identity ili nipate mbinu za kujirekebisha. shame on you na wengine wote wadanganyifu.:high5:
 


IRDP KUNA KAMPUNI NYINGI SANA NA HATA PROJECTS PIA AMBAZO WANATUMIA RASLIMALI ZA CHUO NA PIA MUDA WA MWAJIRI KATIKA KUFANYA MAMBO BINAFSI. KUNDI KUNDI LA WAFANYAKAZI MUDA WA KAZI WAO WANASIMAMIA BIASHARA ZAO WAKATI WANGETAKIWA KUWA KAZINI. NAOMBA KUTAJA:
1. OWEKO inajumuisha akina Zilihona, Lifulilo, Mdendemi na WENGINE WENGI
2. RUCORDIA hII KAMPUNI INAJUMUISHA AKINA DR. NJAU na watu wengi sana kama akina Dr. Sebyiga
3. CORDEMA hapa yupo MGABO na wenzake
4.SIKILIZA PROJECT hapa yupo Dr. Kamanzi ambaye kila siku anasafiri na hafanyi kazi kama alivyoajiliwa
5. Kampuni ya akina Dr. Msaki na wenzake
6. Kampuni ya akina Prof. Katega na wenzake
7. DON CONSULTANCY COMPANY hii ni ya Ndugu Andrew Komba na wenzake
8. Kundi la wahadhiri wasio kuwa na kampuni lakini wanafanya hizi consultancy kwa kutumia muda wa chuo bila kulipa chochote kwa mfano wapo akina Dr. Kilobe, Ndiwaita, Dr. Timothy, Dr. Nyankweli na wengine wengi sana

Hii ni mifano michache tu ya jinsi mali na muda wa mwajiri unatumika kwa manufaa ya watu binafsi na si Chuo kwa ujumla
 
mie naona kuna haja ya ile kamati husika za bunge na wizara ziingilie kati suala la watu binafsi kutumia mali za chuo tena ukiangalia hata yale majengo haswa lile la hostel lilijengwa chini ya viwango tukalalamika sana lakn wapi na kuna bonge la nyufa pale katika hyo hostel ya sumaye na hakuna lolote mpaka mtu afe pale nakuambia angalia kwalu dede eti nae kapelekwa ghana kusoma watu wanasomaje pale mie nlifikiri ni first in ndo first served ila poa kitaeleweka tu
 

Nashauri usome acha siasa chuoni!!! wahenga walishasema heri ya mmbea maana yeye hupeleka ujumbe bila kutumwa lakini wenye ukweli fulani kuliko Mwongo maana ni mfitinishi na huwa na ajenda maalumu kwa uongo wake"
 

Kazi tunayo haswa ukikutana na watu kama wewe! kwetu tunawaita MBUMBU
 

ni kweli kuna hoja katika ulichokiandika, lakini mtanzania ww unaitaji kubadilkika kmtizamo, elimu tuzpatazo co kwa ajili ya cc na familia ze2 2, kila m2 angefkri hvyo ww pia ucngefka hapo ulipo, kuna aja ya wa2 kuueleza umma juu ya upuuz unaoendelea sehem yeyote bila kujali umetokezea mara ngap
 
siyo kweli mbon pale chuoni kuna rafik zangu wachaga,wangoni,wagogo,wahaya...wataka kusema walibadilisha makabila yao wakajiita wasukuma???? is t possible kweli??? tuache ushabiki....ni mawazo yangu tu usijenge chuki
 

Acha unafiki wewe...watu wanaongea ya dhati...we unalete unazi...ndio nyie mnaopewa ajira kwa upendeleo....! we mtu mzima na akili zake anathubutu kuingia kwenye vyumba vya mitihani na kuwapekeua kina dada nywele zao??? hivi hajui kama wengine ni wake za watu na wanapenda....wake zao wajipambe kwa mitindo wanyoitaka wao...yule jamaa hopeless kabixa.....uprofessor wa miti shamba
 
Nahis we utakuwa unasoma chet au diplo au kama degree utakuwa 1 year kwa ujumla wanafunz wa mipango hamna ushirikiano
 
ni kuishiwa tu kwa watu,udom mlisema uduni na huku nako ukabila!!!kazi hazipatikani kwa majungu!!!:smile-big:🙂:evil::flypig:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…