Ubaguzi EPL bado upo mkubwa

Ubaguzi EPL bado upo mkubwa

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson
Mzungu mwingereza.

Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu.

Leo hadi mwandishi mmoja kaenda.

Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo.

Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure hastahili sanamu city?

Ubaguzi mkubwa sana
 
Sijui lakini, mimi binafsi huwa namuona Sadio Mane ni nchezaji wa kawaida sana
 
Sijui lakini, mimi binafsi huwa namuona Sadio Mane ni nchezaji wa kawaida sana
Sadio Mane ametoa mchango mkubwa sana kwenye mafanikio yote ya Liverpool.
Alistahili tuzo hiyo
 
mkuu wazungu nao ni kama watu wengine, kuna wenye wivu, chuki, ubaguzi, wema pia na nk... haya mambo hata hapa kwetu yapo baina yetu wenyewe watu weusi hivo tusiwalaumu wazungu
 
Kiukweli Mane alistahili Tuzo ya mchezaji bora wa msimu kwa klabu,...

Ni wazi kabisa huwezi kulinganisha mchango wa Mane na Henderson kwenye mafanikio ya klabu mwaka uliopita....

Basi waingereza nao wabaguzi tu
 
Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson
Mzungu mwingereza.

Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu.

Leo hadi mwandishi mmoja kaenda.

Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo.

Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure hastahili sanamu city?

Ubaguzi mkubwa sana
Hastahili kwakuwa ni muislam, uislam na masanamu ni mbingu na ardhi
 
Back
Top Bottom