We nae ni mpumbavu kumbe.Ubaguzi unao wewe kichwani mwako.
Sadio Mane ametoa mchango mkubwa sana kwenye mafanikio yote ya Liverpool.Sijui lakini, mimi binafsi huwa namuona Sadio Mane ni nchezaji wa kawaida sana
Hastahili kwakuwa ni muislam, uislam na masanamu ni mbingu na ardhiSisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson
Mzungu mwingereza.
Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu.
Leo hadi mwandishi mmoja kaenda.
Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo.
Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure hastahili sanamu city?
Ubaguzi mkubwa sana