UBAGUZI KWENYE FOLEN DAR ES SALAAM

UBAGUZI KWENYE FOLEN DAR ES SALAAM

mohame kholani

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
145
Reaction score
103
Watu wenye magari makubwa kama VX V8 na Range Rover wanauziwa property magazine zenye taarifa za apartments na nyumba zinazouzwa.

Watu wenye gari ndogo kama IST, Probox, Vitz, Premio, n.k. wanauziwa korosho, weipa, jumper cables na alfabeti za watoto.

Watu wa daladala wanauziwa sumu ya panya mende viroboto sisimizi na mitego ya panya.
Na pia kwenye daladala wanapewa vipeperushi vya Waganga wa nguvu za kiume, ukimwi nk

Wenda kwa miguu wanaletewa dili za dhahabu kwenye kichupa; au bahasha ya kaki unaambiwa ina hela mtu kadondosha; au smartphone kali unaambiwa lete elfu 30 tu.
Nime copy sehem
 
Nipo kwenye daladala ya Gongolamboto hapa mataa ya Veta nayashuhudia hayo unayoyasema dhahili.
 
ukipita barabara ya ubungo kwenda mwenge mida ya jioni unaweza toa mchozi na ndevu zako! Yaan traffic wanaruhusu magari yanayotoka kimara kwenda posta na posta kwend kimara
 
Hapo kwenye bahasha ya kaki unaambiwa pesa, mtu kadondosha ,
Mdogo wangu katapeliwa lak 3 na simu kaibiwa, ni upuuzi mtupu , tamaa mbaya sana
Walimpeleka chocho et wakagawane, matakeo yake wakamkomba ada pamoja na simu yangu,
Aliitia hasira
 
Pole sanaa mwamba ndio mapitio ya dunia hayo
 
Hapo kwenye bahasha ya kaki unaambiwa pesa, mtu kadondosha ,
Mdogo wangu katapeliwa lak 3 na simu kaibiwa, ni upuuzi mtupu , tamaa mbaya sana
Walimpeleka chocho et wakagawane, matakeo yake wakamkomba ada pamoja na simu yangu,
Aliitia hasira
Nishawahi fanyiwa hivo mwanjelwa Mbeya 2013 duh
 
Back
Top Bottom