mohame kholani
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 145
- 103
Nipo kwenye daladala ya Gongolamboto hapa mataa ya Veta nayashuhudia hayo unayoyasema dhahili.Watu wenye magari makubwa kama VX V8 na Range Rover wanauziwa property magazine zenye taarifa za apartments na nyumba zinazouzwa.
Watu wenye gari ndogo kama IST, Probox, Vitz, Premio, n.k. wanauziwa korosho, weipa, jumper cables na alfabeti za watoto.
Watu wa daladala wanauziwa sumu ya panya mende viroboto sisimizi na mitego ya panya.
Na pia kwenye daladala wanapewa vipeperushi vya Waganga wa nguvu za kiume, ukimwi nk
Wenda kwa miguu wanaletewa dili za dhahabu kwenye kichupa; au bahasha ya kaki unaambiwa ina hela mtu kadondosha; au smartphone kali unaambiwa lete elfu 30 tu.
Nime copy sehem
Daaah!! Sio poa manNipo kwenye daladala ya Gongolamboto hapa mataa ya Veta nayashuhudia hayo unayoyasema dhahili.
Ndiyo hivyo nimekaa siti ya nyuma kabisa ya hili daladala Masaki-Gongolamboto ni hatari.Daaah!! Sio poa man
Sema ndio nchi yetu hii na hiyo ndio asili yetuHahahahaha hali halisi
Hakika kakaHahahaha! Ina ukweli ndani yake
Pole sanaa mwamba ndio mapitio ya dunia hayoHapo kwenye bahasha ya kaki unaambiwa pesa, mtu kadondosha ,
Mdogo wangu katapeliwa lak 3 na simu kaibiwa, ni upuuzi mtupu , tamaa mbaya sana
Walimpeleka chocho et wakagawane, matakeo yake wakamkomba ada pamoja na simu yangu,
Aliitia hasira
Nishawahi fanyiwa hivo mwanjelwa Mbeya 2013 duhHapo kwenye bahasha ya kaki unaambiwa pesa, mtu kadondosha ,
Mdogo wangu katapeliwa lak 3 na simu kaibiwa, ni upuuzi mtupu , tamaa mbaya sana
Walimpeleka chocho et wakagawane, matakeo yake wakamkomba ada pamoja na simu yangu,
Aliitia hasira