Ubaguzi kwenye kazi.

Ubaguzi kwenye kazi.

Savage Dad

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
1,388
Reaction score
2,611
Habar zenu wanajamii leo nimeona nilete hili jambo kwenu nyinyi kwasababu limekua likijitokeza sana kwenye utaftaji wa rizki katika shughli zetu,Kwanin sisi kama watanzania hatuwi pamoja katika shughli zetu za kikazi kwasababu nilichokiona huku kwetu sehem nlokua nikifanya kazi nilifukuzwa kazi mim na wenzangu kwasababu tu anatokea mtu kusema wazanzibar hatuwez kazi kisa yeye yuko katika nafasi ya juu na kumbe huu ubaguzi bado tunao na utaisha lini?
 
Polee sana Mkuu!

Kwahiyo umeamua kurudi Zanzibar?
Mkuu mim nipo huku nilikua kwenye company flan hivi ya maji bahat nzur au mbaya akaletwa HR ndugu zetu wa upande wa pili na yeye ndo aloanza kusema hvyo ndio tukaishiwa kufukuzwa.
 
Polee sana Mkuu,ndio changamoto zenyewe hizo!

Nilishakaa kidogo hapo Zanzibar kuna kipindi,hilo suala lipo sana,hata ukiangalia kwenye mahotel shamba kule,bank nyingi hapo,na taasisi nyingine,waajiriwa wengi ni kutoka bara!
 
Kaka hio ndio changamoto kubwa inayotukabili sisi vijana wa huku ikiwa walioshika nafas za juu ni wenzetu wa upande wa pili.
 
Kinachotakiwa ni kupambana tu Mkuu!

Kufanya kazi kwa bidii,ili kuweza kuondoa hiyo dhana potofu kwamba Wanzanzibar hawawezi kazi!

BTW,Zanzibar unakaa pande zipi Mkuu?
 
Eeee karibu na Entebe,kwaio saiv unafanya shughli zako dar.
 
Habar zenu wanajamii leo nimeona nilete hili jambo kwenu nyinyi kwasababu limekua likijitokeza sana kwenye utaftaji wa rizki katika shughli zetu,Kwanin sisi kama watanzania hatuwi pamoja katika shughli zetu za kikazi kwasababu nilichokiona huku kwetu sehem nlokua nikifanya kazi nilifukuzwa kazi mim na wenzangu kwasababu tu anatokea mtu kusema wazanzibar hatuwez kazi kisa yeye yuko katika nafasi ya juu na kumbe huu ubaguzi bado tunao na utaisha lini?
Pole.
Kisheria hiyo haiwezi kuwa sababu ya kuachishwa kazi maana huo ni ubaguzi ambao sheria ya kazi inaukataa. Nina hakika kama ulifukuzwa kazi kwa sababu uliyoitaja ungeshinda kesi ya kupinga kufukuzwa ... (unfair termination).
 
Kaka huku kwetu sheria haizingatiwi wala kufuatwa ni nani utakaemplekea malalamiko akakuskiliza? Kila unaemueleza hakuna anaeskiliza.
 
Nasikia nyie ni wakiume. Mnakua kama power bank, mnachajiwa kwanza ndo mnaanza kuchaji!!!!

Inasemekana lakini.

HR ndo katoa 7bu
 
Kaka huku kwetu sheria haizingatiwi wala kufuatwa ni nani utakaemplekea malalamiko akakuskiliza? Kila unaemueleza hakuna anaeskiliza.
Mkuu itakua kuna kitu kimejificha kati yenu jaribu kufatilia utagundua hilo...
Hata mimi nyumbani ni huko huko tena Pba lakini pia nipo kwenye serikali ya Magufuli na sijawahi kuambiwa mimi mvivu kubwa napata sifa ya kujichanganya na Wabongo bila kujibagua. Tena wananiamini sana kuliko hao wabongo wenzao kwenye masuala ya pesa.
 
Back
Top Bottom