Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Kwetu ni zanzibar.Kwenu wapi sasa !
Mwanamme.Wewe ni me au ke
Polee sana Mkuu!Kwetu ni zanzibar.
Mkuu mim nipo huku nilikua kwenye company flan hivi ya maji bahat nzur au mbaya akaletwa HR ndugu zetu wa upande wa pili na yeye ndo aloanza kusema hvyo ndio tukaishiwa kufukuzwa.Polee sana Mkuu!
Kwahiyo umeamua kurudi Zanzibar?
Polee sana Mkuu,ndio changamoto zenyewe hizo!Mkuu mim nipo huku nilikua kwenye company flan hivi ya maji bahat nzur au mbaya akaletwa HR ndugu zetu wa upande wa pili na yeye ndo aloanza kusema hvyo ndio tukaishiwa kufukuzwa.
Kaka hio ndio changamoto kubwa inayotukabili sisi vijana wa huku ikiwa walioshika nafas za juu ni wenzetu wa upande wa pili.Polee sana Mkuu,ndio changamoto zenyewe hizo!
Nilishakaa kidogo hapo Zanzibar kuna kipindi,hilo suala lipo sana,hata ukiangalia kwenye mahotel shamba kule,bank nyingi hapo,na taasisi nyingine,waajiriwa wengi ni kutoka bara!
Kinachotakiwa ni kupambana tu Mkuu!Kaka hio ndio changamoto kubwa inayotukabili sisi vijana wa huku ikiwa walioshika nafas za juu ni wenzetu wa upande wa pili.
Umeona Fundi.kabisa
Chukwani karibu na jeshini/Entebbe nini Mkuu?Mim niko chukwani Kaka wew ulikua ukiishi pande zipi...?
Pole.Habar zenu wanajamii leo nimeona nilete hili jambo kwenu nyinyi kwasababu limekua likijitokeza sana kwenye utaftaji wa rizki katika shughli zetu,Kwanin sisi kama watanzania hatuwi pamoja katika shughli zetu za kikazi kwasababu nilichokiona huku kwetu sehem nlokua nikifanya kazi nilifukuzwa kazi mim na wenzangu kwasababu tu anatokea mtu kusema wazanzibar hatuwez kazi kisa yeye yuko katika nafasi ya juu na kumbe huu ubaguzi bado tunao na utaisha lini?
Hapana,nipo Dodoma Mkuu!Eeee karibu na Entebe,kwaio saiv unafanya shughli zako dar.
Kaka huku kwetu sheria haizingatiwi wala kufuatwa ni nani utakaemplekea malalamiko akakuskiliza? Kila unaemueleza hakuna anaeskiliza.Pole.
Kisheria hiyo haiwezi kuwa sababu ya kuachishwa kazi maana huo ni ubaguzi ambao sheria ya kazi inaukataa. Nina hakika kama ulifukuzwa kazi kwa sababu uliyoitaja ungeshinda kesi ya kupinga kufukuzwa ... (unfair termination).
Mkuu itakua kuna kitu kimejificha kati yenu jaribu kufatilia utagundua hilo...Kaka huku kwetu sheria haizingatiwi wala kufuatwa ni nani utakaemplekea malalamiko akakuskiliza? Kila unaemueleza hakuna anaeskiliza.