Ubaguzi mwingne bana

Ubaguzi mwingne bana

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Hello jf!kuna ndugu yangu mmoja anasoma udom aliniachiaga barua yake ya field,nimpelekee kwenye shirika flani hivi la umma,akiwa na lengo la endapo angepata nafasi basi angetakiwa katikati ya mwezi huu angeanza fild,sasa kutokana na wao kwa sasa kuwa wamesimamishwa masomo,alijaribu kupitia kwenye ofis za hlo shirika kujua nin kinaendelea,cha kusikitisha alikutana na meneja mkuu na akaambiwa kwamba shirika lao huwa halichukui wanafunzi kutoka vyuo vingne icpokua udsm na sua tu,sa dogo karudi akiwa mnyonge kweli,anahisi hata huko mbelen akigraduate elimu ya chuo chake anachosoma inaweza ikamletea ugumu ktk kuajiriwa!sasa ndio nauliza ina maana huko ud na sua ndo kuna wanafunzi wanaosoma au wenye uelewa sana au 2 ilikua ni janja ya yule mdosi kumkatalia dogo,na kwa nin wabague wanafunzi ili hali elimu wanayopata wote ni sawa?
 
ahh kuna kiukweli kdg

km zaman saaana ukitoka udsm unaonekana yaaap we mukichwa zipo..
ikaja apa kat kat ahh ukisema unatoka udsm wengne wenye akil fup walikuwa wanasema ahh ao watukutu aukiwapa fild wanaweza wakafanya mgomo kazin

bt nw ukisema unatoka udom ...ata mimi 2b honest naona km wana fujo ivi..awajatulia ivi...yaan ni second hand flan ivi...thou kuna rafiki na ndugu zangu wanafundisha apo na wengen wanasoma bt MMHH IKI CHUO KWANGU NAONA AKIJATULIA..LABDA KWA VILE KINATUMIKA KISISASA ZAID SO LENGO HUSIKA LA CHUO LINADORORA...

m sor..nt meant harm...
 
usijali..mwambie asijali atapata tu fild..awa wanasiasa wanataka kutuchafulia hali ya hewa..
chuo kinatumika kisiasa zaidi ..na kwanini alienda UDOM jaman...ahh minaona km second hand vle..km alikuwa na maks za kutosha y to jump there?
si km chuo kibaya bt wanasiasa wamekichakachua sana...
vyuo vyote vna mahusiano na wanasiasa na vnatumika kwa njia moja ama nyngne lakin udom ni 2much...
wamekiharibu chuo kile masikin na ata utawala wake pia mbovu sanaaaaaaaa....matatizo mengiiiiiiiiiiii prioduction zeroooooooooooo

mpe pole...
 
Hello jf!kuna ndugu yangu mmoja anasoma udom aliniachiaga barua yake ya field,nimpelekee kwenye shirika flani hivi la umma,akiwa na lengo la endapo angepata nafasi basi angetakiwa katikati ya mwezi huu angeanza fild,sasa kutokana na wao kwa sasa kuwa wamesimamishwa masomo,alijaribu kupitia kwenye ofis za hlo shirika kujua nin kinaendelea,cha kusikitisha alikutana na meneja mkuu na akaambiwa kwamba shirika lao huwa halichukui wanafunzi kutoka vyuo vingne icpokua udsm na sua tu,sa dogo karudi akiwa mnyonge kweli,anahisi hata huko mbelen akigraduate elimu ya chuo chake anachosoma inaweza ikamletea ugumu ktk kuajiriwa!sasa ndio nauliza ina maana huko ud na sua ndo kuna wanafunzi wanaosoma au wenye uelewa sana au 2 ilikua ni janja ya yule mdosi kumkatalia dogo,na kwa nin wabague wanafunzi ili hali elimu wanayopata wote ni sawa?

defeat is a destructive force only when you accept it as failure......mwambie akaze buti atapata sehemu nyingine.
 
ahh kuna kiukweli kdg

km zaman saaana ukitoka udsm unaonekana yaaap we mukichwa zipo..
ikaja apa kat kat ahh ukisema unatoka udsm wengne wenye akil fup walikuwa wanasema ahh ao watukutu aukiwapa fild wanaweza wakafanya mgomo kazin

bt nw ukisema unatoka udom ...ata mimi 2b honest naona km wana fujo ivi..awajatulia ivi...yaan ni second hand flan ivi...thou kuna rafiki na ndugu zangu wanafundisha apo na wengen wanasoma bt MMHH IKI CHUO KWANGU NAONA AKIJATULIA..LABDA KWA VILE KINATUMIKA KISISASA ZAID SO LENGO HUSIKA LA CHUO LINADORORA...

m sor..nt meant harm...

Mhhh! hii kiboko
 
Labda boss alihisi dogo ana kadi ya CCM mfukoni akajua ataleta ufisadi kazini na baadaye asingizie kujivua gamba.
 
du noma kaka ila mpe ushauri unajua ni kweli some time unaweza findi fild ikawa issue kupata c ud peke yake wala sua mara nyingi pia kufahamiana kidogo kuna kuwa na umuhimu kwa nchi yetu so mwambie awe anajaribu sehemu tofauti tofauti
 
usijali..mwambie asijali atapata tu fild..awa wanasiasa wanataka kutuchafulia hali ya hewa..chuo kinatumika kisiasa zaidi ..na kwanini alienda UDOM jaman...ahh minaona km second hand vle..km alikuwa na maks za kutosha y to jump there?si km chuo kibaya bt wanasiasa wamekichakachua sana...vyuo vyote vna mahusiano na wanasiasa na vnatumika kwa njia moja ama nyngne lakin udom ni 2much...wamekiharibu chuo kile masikin na ata utawala wake pia mbovu sanaaaaaaaa....matatizo mengiiiiiiiiiiii prioduction zeroooooooooooompe pole...
da rose sa wa2 wasipoaply udom,c chuo kitakosa wanafunzi jaman,kikubwa ni nn kfanyike kuondoa hyo kasumba ya wadosi kuzkataa products za udom.
 
du noma kaka ila mpe ushauri unajua ni kweli some time unaweza findi fild ikawa issue kupata c ud peke yake wala sua mara nyingi pia kufahamiana kidogo kuna kuwa na umuhimu kwa nchi yetu so mwambie awe anajaribu sehemu tofauti tofauti
pamoja mkuu
 
Labda boss alihisi dogo ana kadi ya CCM mfukoni akajua ataleta ufisadi kazini na baadaye asingizie kujivua gamba.

haaah haaah haah dah ni hv to sion button ya thnx ningekugongea mkuu.
 
Back
Top Bottom