Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Hello jf!kuna ndugu yangu mmoja anasoma udom aliniachiaga barua yake ya field,nimpelekee kwenye shirika flani hivi la umma,akiwa na lengo la endapo angepata nafasi basi angetakiwa katikati ya mwezi huu angeanza fild,sasa kutokana na wao kwa sasa kuwa wamesimamishwa masomo,alijaribu kupitia kwenye ofis za hlo shirika kujua nin kinaendelea,cha kusikitisha alikutana na meneja mkuu na akaambiwa kwamba shirika lao huwa halichukui wanafunzi kutoka vyuo vingne icpokua udsm na sua tu,sa dogo karudi akiwa mnyonge kweli,anahisi hata huko mbelen akigraduate elimu ya chuo chake anachosoma inaweza ikamletea ugumu ktk kuajiriwa!sasa ndio nauliza ina maana huko ud na sua ndo kuna wanafunzi wanaosoma au wenye uelewa sana au 2 ilikua ni janja ya yule mdosi kumkatalia dogo,na kwa nin wabague wanafunzi ili hali elimu wanayopata wote ni sawa?