Ubaguzi uliopo visiwani kwa Wabara inatosha kuwabembeleza, hata wakiwa huku bara ni vilevile

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hawa ndugu zetu wa visiwani washajua kuwa tunawakumbatia sana ndio maana kujishugulisha hata kielimu washaona tu mtawapa nafasi zao ajira bakini nyie wa bara someni mpaka mkome.

Kama tutaendelea kuwabembeleza nao hipo siku watatueleza wazi kwamba tuachane nao.

Inanishangaza kwenye nafasi za kazi kwao lazima kuwa mzanzibari ila kwetu ni tofauti na anapangiwa mpaka kwenye halmashauri.
 
Wapo kwenye usukani acha wakae hata kwenye utendaji kijiji cha nyambitilwa.
 
Meza itapinduliwq siku sio nyingi,tujiandae kwa serikali moja,atakayepinga ajiandae kwa lolote.
 
Kwahiyo yanga waachane na Fei toto?
 
Tunarubuniwa na sauti zao tu ndyo maana wanatupanda vichwani hawa mbwa😂😂😂
 
zanzibar kuna wasukuma wanyamwezi makondo ndegereko zalamo digo bomdei nk tena ni wengi sana huko basi hao ndio wanao wabagua mnapo kwenda huko
 
Tunarubuniwa na sauti zao tu ndyo maana wanatupanda vichwani hawa mbwa[emoji23][emoji23][emoji23]
ndio kusema wasukuma wanyamwezi wamakonde wandengereko wazalamo wabondei walioko zanzibar ndo mbwa au unakusudia nn?
 
ndio kusema wasukuma wanyamwezi wamakonde wandengereko wazalamo wabondei walioko zanzibar ndo mbwa au unakusudia nn?
Yaani kiufupi kama wana ubaguzi wa aina tajwa hapo juu waitwe hivyo tu,au upo huko na una tabia hyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…