Ubaguzi wa Mwafrika hautaisha kama ndio hivi

Ubaguzi wa Mwafrika hautaisha kama ndio hivi

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Siku za hivi karibuni yameibuka matukio makubwa ya kibaguzi duniani ikiwemo lile la kuuawa Mmarekani mweusi George Floyd.
George Floyd alikufa kwa kukosa hewa alipobanwa shingoni na mapolisi Wamarekani weupe.

Lakini sifikiri kama ubaguzi utaisha, kama;

Gari zinatengenezwa NYEUPE lakini tairi zinawekewa NYEUSI

Mtu anaanza kufua nguo NYEUPE alafu anafuata za rangi nyingine ikiwemo NYEUSI

Ubao wa shuleni ni mweusi lakini chaki inayoandika katika ule ubao ni nyeupe
(Tafsiri yake ikiwa kwamba chaki imebeba maarifa na kutegemea ubao usio na msaada wa kutunza yale maandishi)

Mtu akiblock namba yako tunasema BLACKLIST lakini hatusemi WHITELIST

Fedha zilizopatikana kwa njia ya magendo huitwa BLACKDIAMOND na sio WHITEDIAMOND

Tunatumia nguo NYEUPE kwenye HARUSI lakini bado tunatumia nguo NYEUSI misibani.

Lakini hata kiasili hata jua limetubagua
Kwasababu

Rangi NYEUPE huakisi mwanga na rangi NYEUSI husharabu mwaga

BLACK color absorbs sunlight and WHITE color reflects sunlight
 
Nimecheka hapo kuambiwa kuwa hata jua limetubagua
 
Sina hakika lakn mbn wapo Afrika people wanauwezo wakiakil kiasi kwamba mzung au mtu .mweupe hawezi
 
Back
Top Bottom