Ubaguzi wa rangi wa kisirisiri

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Huu ni ubaguzi wa rangi tunaoufanya wenyewe kwenye subconcious mind zetu. Tuamke, tusirudie tena. Watz wengi ni kama Wasira au Martin Kadinda.

 
Yusuph Athmani wa Yanga kwenye third kit ni Mweupe ?
Pape othman sakho wa Simba na John Bocco Ni weupe wale ?
 
Funguka mkuu mimi shule nilikuwa naitwa kilaza🤣
 
Tuliza kijambio,,ubaguzi unaanzia kwenye akili yako kabla ya Domo kubwabwaja utopolo.
 
akili yako tu imekupeleka huko,ila akuna ubaguzi hapo,kwanza ukute hata ao jamaa walikua weusi kama Dimond wa zamani wakabadili rangi ya ngozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…