Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka mmoja au vyote.
Wana JF, hivi ndo ikoje? naomba nielimishwa jamani.:A S-danger:
Kwanza inavyoelekea zoezi zima linaviashiria vya ubakaji. kwahiyo wanataka kabla ya yote mfanye kikao cha makubaliano, muandikishiane, shahidi awepo au ni vipi?
Wamekosa miswaada hao, Itabidi basi kila mwenye mke afunge camera maalum ili kupata ushahidi wife ikienda kujaribu kukuzulia kesi... mali yako masharti kibao......ukiolewa kubali yote, au kama vipi baki kwenu vinginevyo mahari mtarudisha.:boxing:
kwa hiyo mnaona mwanamke kulazimishwa kufanya tendo ni haki?
kama kutumia nguvu kumuingilia mwanamke ni kosa, basi kosa linaendelea kuwepo hata kama mwanamke huyo ni mkeo.
Hapo nina mashaka na mambo mengi ambayo nadhani hayajakaa sawa. Je, ili wanandoa wafanye tendo la ndoa ambalo si ubakaji watawezaje kupeana uthibitisho kwamba wamekubaliana na si vinginevyo? Na kama mwanaume ataishi naye bila kumwomba mke wake tendo la ndoa itakuwaje? Katika kuishi pamoja kama mke na mume moja ya mambo ya kufanya ni pamoja na hayo na hiyo ina ridhaa ya jumla katika makubaliano ya kuoana, sijui kama kubaka katika ndoa itakaaje(kwa maana ya ushahidi wa ubakaji)Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka mmoja au vyote.
Wana JF, hivi ndo ikoje? naomba nielimishwa jamani.:A S-danger:
kubaka/kubakwa ni mojawapo ya malavidavi-fantasy!
kwenye ndoa hatubakani ni tunatekeleza wajibu tu:
kubaka/kubakwa ni mojawapo ya malavidavi-fantasy!
you must know kama mumeo/mkeo ndio ugonjwa wake...
ni mojawapo ya vijimambo unavyovitekeleza hata kama hupendi...
kama unaona hutavivumilia usioe/olewe naye period....
uliolewa ili iweje kama hutaki kubakwa sometimes????
:becky::becky::becky::becky:
mie siwezi kumpeleka mume wangu mbele ya sheria kama kanibaka...
ni aibu kwanza,
pili kwenye ndoa hatubakani ni tunatekeleza wajibu tu:glasses-nerdy:
walahi unless kama umemchoka ndio utampeleka mbele ya sheria,
which will be long and hard process to prove!
na kama umefikia kuweka macamera kumrecord mtu anavyokubaka...
kubali yaishe ndoa yako is long time dead!LOL...pole:becky::becky: