Ubakaji...?!!

Ubakaji...?!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Udadisi tu...
Hivi wanawake huwa WANABAKA wanaume?!!
 
Zipo kesi kadhaa zilizowahi ku ripotiwa
 
wanawake ni malaika
hawabakaki kwa vtendo wala kwa NADHARIA.
 
Mkeshahoi,
Inategemea tafsiri ya kisheria kuhusu ubakaji. Wengine wanasema ni mtu "kumwingilia" mwingine bila ridhaa. naamini mwanamke kwa "biological features" hawezi kumwingilia mwanaume. GONGA HAPA
 
na anapokuvamia chumbani kwako akikushawishi umtimizie ze nidful na wewe hutaki.... ukigoma anatishia kupiga kelele na kurarua kivazi chake. utaitaje khali hiyo?
 
Back
Top Bottom