SO wanaishi kama watu WALIOKATWA VICHWA yani wasio na UBONGO kichwani.MAKUSUDI TU .
na hata wakiwa wanaongea ,wanaongea kama WATU WASI NA VICHWA. yani kama viwiliwili tu.
Wameamua kwa makusudi KUZIFUNGIA AKILI ZAO STOO.
Maana KAZI YAO ya UCHAWA inawalazimisha WASIWE NA AKILI KABISA..ama HAWATAKIWI kutumia aki kabisa hata 1.