Ubalozi wa CCM UK

Kama kawaida yetu Watanzania, watu wanatumia haki yao ya kikatiba na katiba ya chama chao; ninyi mnakaa hapa kuwajadili. Kama nyie sio wana CCM, inawasumbua nini hao CCM wakiamua kuwa na Matawi hata mpaka mwezini?

Hii ni Siasa (ni hiari kuwa au kutokuwa mwanasiasa au mwanachama wa chama chochote), kama hamuwezi kusimama pale mlipo mkahesabiwa hamna haki ya kukosoa wengine.
 
Hao wanaojiunga na CCM ughaibuni ni ndugu, jamaa na watoto wa mafisadi wa huku nyumbani. Ndiyo wanafaidika na matunda ya ufisadi na kutusababishia dhiki huku nyumbani. Wanaweka insurance kuhakikisha bomba halikatiki au kuzibwa. CCM sasa hivi ni kama malaya. Iko tayari kulala na yeyote ilimradi kuna ana mshiko.
 

You mean kama Ridhiwani Kikwete?
 

Mkuu tuliza boli wananchi wajadili jinsi makuwadi wa Chama Cha Majambazi wanavyotafuna fweza ya walipa kodi. Kama hawakutumia fweza za walipa kodi waseme lakini nina wasiwasi na shughuli za balozi haiwezekani hakutumia fweza za walipa kodi hata huyo Msekwa et al. Msitake kutuambia hizo £5 tano ndio mmeweza kufanya sherehe ya nguvu namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…