Ubalozi wa India nchini Tanzania wachukua tahadhari kutokana na maambukizi ya virusi kupitia mfumo wa upumuaji

Ubalozi wa India nchini Tanzania wachukua tahadhari kutokana na maambukizi ya virusi kupitia mfumo wa upumuaji

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
18953442_1426951330725120_823904431311454689_o.jpg

Ubalozi wa India nchini Tanzania umetoa tangazo la tahadhari unazochukua ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vinavyoenezwa kupitia mfumo wa upumuaji.

Ubalozi huo umeweka zuio kuanzia tarehe 27/01/2021 la watu wasio na miadi (appointment) kuingia katika ubalozi huo hadi hapo itakapotoa tamko lingine. Wananchi wote watakaohitaji huduma kupitia ubalozi huo watatakiwa kutuma maombi yao na nyaraka muhimu kupitia barua pepe ya cons.daressalaam@mea.gov.in kwa ajili ya uhakiki na watapigiwa simu kupewa maelekezo wanayotakiwa kufuata.

Wananchi wote watakaoruhusiwa kuingia ubalozini watahitaji kuvaa barakoa na kutakasa mikono yao kabla ya kuingia ndani ya ofisi hizo na watatakiwa kutoa ushirikiano na walinzi watakaokuwepo katika ofisi hizo.

Source: https://hcindiatz.gov.in/advi-27-1-21.php

======

Due to the recent spurt in the spread of viral/respiratory infections in the vicinity, it has been decided to restrict entry into the Mission, with immediate effect, only on case-to-case basis till further notice. All applicants seeking services for Passport/OCI/ Miscellaneous are requested to send their applications & supporting documents by email to cons.daressalaam@mea.gov.in for prior verification. The applicants will receive a call for further action in due course after vetting of their applications. All service seekers are requested to wear a face mask and sanitize their hands before entering the office premises. They also need to cooperate with the security personnel while being present in the premises.

On urgent matters, a text message (no phone calls) can be sent on Whatsapp/SMS to +255699826074 / +255783344840 which will be responded to as soon as possible.

Revised Timings for seeking Services : 1100 hrs -1300 hrs
Documents Collection Time:
1500 hrs - 1530 hrs. on all working days.
 
Back
Top Bottom