Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu,
Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii.

Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
 
Habari wakuu,
Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii.

Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
vipi unataka uende ukawarudishie mabehewa yao, manake yale mabehewa na vichwa vimetengenezwa south korea.
 
Wewe utakuwa umesearch "South Korean Embassy Tanzania". [emoji23][emoji23][emoji23]

Wacheki kwenye hii address, sijui kama bado wapo. Ohio Street , 19th Fl, Golden Jubilee Towers.
 
Back
Top Bottom