Uchaguzi 2020 Ubalozi wa Marekani: Barua hii inayosambazwa WhatsApp ni feki100%

Uchaguzi 2020 Ubalozi wa Marekani: Barua hii inayosambazwa WhatsApp ni feki100%

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa kusambaza uzushi. Chukua muda wa kutafakari na kuzithibitisha kabla ya kuzisambaza.

1603715462996.png
 
Back
Top Bottom