Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa kusambaza uzushi. Chukua muda wa kutafakari na kuzithibitisha kabla ya kuzisambaza.