Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,111 Reaction score 28,020 Feb 28, 2020 #41 eliakeem said: Kutoa tahadhari ni jambo moja, lkn mbona hawaelekezi hatua za kuchukua katika maeneo husikaa? binafsi nitawasifu wamarekani pale watakapotoa tahadhari kabla ya kutokea mass shooting(s) nchini kwao. Click to expand... Ukipewa tafadhali chukua hatua mwenyewe, sasa ndani kwako mpaka mtu mwingine akuelekeñze hatua jamani huo ni uzembe kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
eliakeem said: Kutoa tahadhari ni jambo moja, lkn mbona hawaelekezi hatua za kuchukua katika maeneo husikaa? binafsi nitawasifu wamarekani pale watakapotoa tahadhari kabla ya kutokea mass shooting(s) nchini kwao. Click to expand... Ukipewa tafadhali chukua hatua mwenyewe, sasa ndani kwako mpaka mtu mwingine akuelekeñze hatua jamani huo ni uzembe kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Feb 28, 2020 #42 GODZILLA, inawezekana kweli hivi unasahau ile tahadhari iliyotolewa na ubalozi wa Marekani lakini jambo lililotokea.
GODZILLA, inawezekana kweli hivi unasahau ile tahadhari iliyotolewa na ubalozi wa Marekani lakini jambo lililotokea.
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Feb 28, 2020 #43 Ulweso said: Ukipewa tafadhali chukua hatua mwenyewe, sasa ndani kwako mpaka mtu mwingine akuelekeñze hatua jamani huo ni uzembe kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Siyo anielekeze hatua, aoneshe ugonjwa uko wapi. Ndiyo maana tunashindwa kuwa na imani naye. si ajabu tunamtafuta mchawi, kumbe ndiye awaye yote.
Ulweso said: Ukipewa tafadhali chukua hatua mwenyewe, sasa ndani kwako mpaka mtu mwingine akuelekeñze hatua jamani huo ni uzembe kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Siyo anielekeze hatua, aoneshe ugonjwa uko wapi. Ndiyo maana tunashindwa kuwa na imani naye. si ajabu tunamtafuta mchawi, kumbe ndiye awaye yote.