Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

verified IDs wote huwa hamna la maana la kuandika humu.
Kwa hiyo wewe ambae una cha maana ,cha maana chako ni hiko chA kusema kuwa Marekani hakuna Corona ?
Kha,we na huyo mwenzako mmelishwa au mmevutishwa ?
 
Jibu ni kuwa hakutakuwa na usafiri wa kutoka Africa siyo kwamba marekani Hakuna corona. Hivyo basi mwenye haraka zake ajipange kuondoka haraka. Lakini hawajasema kuwa kwao ni Salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni taifa linalojitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Linajitambua kivipi mkubwa? Unajua kuwa hali ya Marekani ni mbaya kuliko Tanzania kwenye upande wa maambukizi na hatari ya kuambukizwa? Cha muhimu ni kuwa kama wameamua kwenda waende, watajua wenyewe. Sasa hivi Marekani ni nchi iliyojaa virusi kuliko hata CHina, na baada ya wiki tatu watakufa zaidi kuliko hata Italia. Kujitambua kupi huko?
 
Wapi wameandika "must"?
Kwa Ufafanuzi those who are interested to depart should do before 29th. Why Ndege za Ethiopian airline tu ndio bado zinafanya safari.
Zingine zimesitisha safari.
 
BBC News - Coronavirus: Lack of medical supplies 'a national shame'
Lack of medical supplies: 'A national shame'
President Trump has invoked the Defense Production Act to get General Motors to make more ventilators and Boeing will make face shields for medical professionals.
Doctors in the United States have been sharing the difficulty of obtaining gear to treat patients with Covid-19.
Some say it adds to the pressure of caring for their patients while another took matters into his own hands by buying medical equipment on the black market
A recent study from the United States Conference of Mayors suggested that 91.5% of cities did not have enough face masks for their first responders and medical personnel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawatoa nchi salama, unawapeleka nchi hatari? Waende wakirudi utaratibu wetu ni uleule 14 days isolation kwa gharama binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabudu wazungu bwana mna kazi sana..nani kafa na korona Tz hadi sasa...yani marekan kwa bongo kila kitu huwa inajifaraghua faraghua yani ilimradi ...balozi aliopo kwa sasa bongo seems ni mtu wa kiki na beef za.

Ngoja azoe mazombi yake ayarudishe makao makuu ya korona yawahi kujifia jirani na nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani visa vya maambukizi 94238 vifo 1700 Tanzania 🇹🇿 visa 13 hakuna kifo wapi salama sasa
 
Hofu ya US juu watu wao waliopo Afrika siyo mambukizi kwa sababu mambukizi hata kwao yapo.

Hofu kubwa ni kuwa ukitokea mlipuko huku kwetu, hatuna uwezo wa kuwahudumia wagonjwa. Wao wenye facilities nyingi, hali imekuwa hivi, itakuwaje kwetu ambao hatuna Respiratory Ventilators hata kwenye hospitali zetu za rufaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…