Serikali imejua covid ni dhaifu kwenye joto Kali + black people hivyo hakuna mmarekani mwenye akili atakaye kubali kwenda kwao USA maana wamarekani wanajua faida ya joto kwa koronaHivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Kwa habari yako hakuna mmarekani atakaye taka kuondoka tz kwenda marekaniakili zingine za kijinga sana. Marekani haisemi kwamba kwao hakuna Corona. Wanachosema watu wao warudi kwao ambako itakuwa rahisi kuwahudumia.
wanaogopa mipaka ikifungwa na hali ikawa mbaya kwao wakiwa Tanzania itakuwa mgumu kuwasaidia.
wakati wa majanga unataka familia yako irudi nyumbani kwako ambako unaweza kuwasaidia.
Hivyo ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya.
sio salama kuliko marekani wakati marekeni watu karibu laki na nusu wana covid19 ?
Sababu ni wapumbavuu nguvu ya kuenea na kuua kwa ugonjwa wa korona kwenye baridi ni × 10 kuliko kwenye jotoIla swali la kujiuliza ni kwamba,kwao kuna maambukizi zaidi,lakini kwanini bado wanataka watu warudi makwao ?
Mbna hatujafa mkuu. Mbna tunawaona wazungu kma miungu..Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Hapana wanataka kuruka maji na kukanyaga kinyesiNi kwamba wanajali sana raia wao au ni uwoga tu umewajaa?
Kwani hivyo vifaa vinauzwa sh ngapi kwanini msishauri serikali hivi nunue hata elfu 2000Hofu ya US juu watu wao waliopo Afrika siyo mambukizi kwa sababu mambukizi hata kwao yapo.
Hofu kubwa ni kuwa ukitokea mlipuko huku kwetu, hatuna uwezo wa kuwahudumia wagonjwa. Wao wenye facilities nyingi, hali imekuwa hivi, itakuwaje kwetu ambao hatuna Respiratory Ventilators hata kwenye hospitali zetu za rufaa?
Nimesema Marekani anaona hivyo.Mbna hatujafa mkuu. Mbna tunawaona wazungu kma miungu..
Tutumie na ss akili zetu.
Kila mtu afate maisha yake
Marekani mpumbavu tu kunawatu kwake ni masikini huduma za public ni mbovu sema hawayatangazi kma kwetu huku.
Rushwa ipo kubwa mno kuliko yetu.
Omba omba wapo wengi tu huko.
I love tanzania japo tuna changamoto zetu haya ndo maisha
Hearsay. And its not trueSerikali imejua covid ni dhaifu kwenye joto Kali + black people hivyo hakuna mmarekani mwenye akili atakaye kubali kwenda kwao USA maana wamarekani wanajua faida ya joto kwa korona
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za kibepari ni mchezo mchafu sana, inahitaji akili nyingi sana kuwaelewa kwa kila jambo wanalofanya.Nimesema Marekani anaona hivyo.
Sijasema kuwa nakubaliana na marekani.
Us ni mabeberu siwezi kuwa upande wao hata mara moja
It is very true labda uwe ukusoma hata darasa la 4 ukufika ,kwa joto kama la dar MTU haki shika sehemu na kuacha virusi itachukua dakika chake virusi kufa baridi inausika kwaasilimia 80% kuipa nguvu covidHearsay. And its not true
Are you serious?It is very true labda uwe ukusoma hata darasa la 4 ukufika ,kwa joto kama la dar MTU haki shika sehemu na kuacha virusi itachukua dakika chake virusi kufa baridi inausika kwaasilimia 80% kuipa nguvu covid
Sent using Jamii Forums mobile app
Hearsay. And its not true
At which temperature na ukavu upi maana kwenye baridi vinaweza ishi hata miaka mingi tuAre you serious?
Najua Virus wana kufa baadha ya 72 hours.
Kwenye plastic, metal etc. ila maximum ni 72 hrs.
Dude let me leave you alone.
KWa sababu unaleta stori za kahawa.