Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Are you serious?

Najua Virus wana kufa baadha ya 72 hours.
Kwenye plastic, metal etc. ila maximum ni 72 hrs.

Dude let me leave you alone.
KWa sababu unaleta stori za kahawa.
Acha ubishi jomba usituone wengine mazuzu je nikikuambia mafuta jamaa kakusaidia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha takwimu ziseme. Kwani maambuki ya COVID 19 kati ya marekani ya Tz wapi yapo juu
 
Wawarudishe tu. Maana kwao ndiyo imeenea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…