Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

What? Chinese warned WHO in advance! When?, after people start dropping dead in streets! Where did you brew this information my friend?
If the Chinese really got the wind that, the virus was sent to them by USA , wouldn’t that translate into “ China knowing the origin of the problem”?
And if I may respectfully turn the tables, do you have the so called compelling evidence for that?
The fact remains, this plague started in mainland China and China know way more than you and me about it!
 
Huyu jamaa hamjui magu eee, atarudi kwao bila mabegi.
🤣🤣🤣
 
We are sovereign state, who are they to decide our fate? Wakafie mbele
Ukibakwa na baba yako mzazi kesi inakuwa ya serikali mkuu,baba yako hawezi kuachiwa huru eti kisa aliyembaka ni mwanawe wa kumzaa,hata ukijaribu kujinyonga wewe binafsi,serikali itakushtaki na mahakama inaweza kukutia hatiani na kukuhukumu bila kujali kuwa ulifanya maamuzi yako binafsi kwa uhuru wako binafsi,hii habari ya kuwa eti Tanzania ni nchi huru kwa hiyo iachwe tu ifanye inavyotaka inaweza kukugharimu hata wewe whistle blower wa serikali,kama si jumuiya ya kimataifa watawala wengi wa kiafrika wangekuwa wanachinja raia wao hadharani mchana kweupe,fikiria leo ukamkosoe magufuli hadharani,na awe hana chombo chochote anachokiogopa hapa duniani,hakika ataamuru upigwe shaba mbele ya umma,waafrika kwa kiasi kikubwa bado hatujaweza kujitawala,ukiangalia upuuzi unaoendelea rwanda,uganda,tanzania nk utajua kwa hakika kuwa hatukumaliza kusoma elimu ya Ustaarabu wa kidola,yaani ujinga ni mwingi mno,na waathirika wa ujinga huo wametishwa na kulazimishwa ku ukubali ujinga huo,tunajivunia ujinga kwa sababu tu tumefundishwa hivyo na wale tunao waogopa,leo rais kaamua somo la historia lipewe kipaumbele kuliko hata somo la sayansi na teknolojia,ni kwa sababu hiyohiyo,anataka kuwa brain wash watoto wetu ili wawe kizazi cha "Ndiyo mzee" akisema corona hakuna tanzania basi wote tuseme tawire,hata kama ndiyo umetoka kumzika mama yako mzazi aliyekufa kwa corona hiyo hiyo,akisema watanzania ni matajiri sana tuseme "ndiyo mzee" japo hujapata hata mlo mmoja toka asubuhi,na mguuni huna hata lapa bovu, huu ujinga tusiukumbatie,tujifunze kuwa wakweli,tupunguze uoga,tuishi.
 
Serikali inapenda sana watu kama wewe!! Inakufinya halafu inakulazimisha ucheke! Na unacheka as if nothing happened,lakini ndani ya moyo wako maumivu yanapenya barabara!! Inajisemea rohoni" tungepata majinga mengi kama haya maisha yetu yangekuwa lainiiii"
 
Hivi hapa Tanzania hakuna balozi wa nchi zingine zaidi ya Marekani?

Je Urusi,China na wengineo hawatupendi watanzania zaidi ya Wamarekani hawa?

Ikumbukwe, chanjo ni biashara kama biashara zingine.

Sisi tukiamua kutumia chanjo ya URUSI kuna shida?
Marekani ndiyo big brother wa dunia kwa sasa,wengine walishapita,na wengine watakuja, chanjo tumieni yoyote tu,hata ya madagaska mulitumia na hamkurushiwa jiwe hata moja,hata kama burundi wana chanjo yao kaimezeni tu,ila msijifanye hamuoni tatizo wakati lipo,chukueni hatua yoyote ile kuukabili ukweli huu mchungu,msijifanye kufumba macho,wengine wanawakodolea macho mjue!!
 
Survived? With 0 death? And no death currently? Did you just mention Pandemic? How could you?
 
Elimu ni kitu muhimu sana, ukielimika utafahamu.
 
Unajua kiswahili au? Wanamuagiza nani au wameomba wewe unakurupuka na kusema ni agizo
 
You have intelligently answered exhaustively everything in just four sentences......................the man is thriving to recuperate the desperate politicians....as I scribe my concurrence note look what is happening in USA now
#Country,
Other
Total
Cases
New
Cases
Total
Deaths
New
Deaths
Total
Recovered
Active
Cases
Serious,
Critical
Tot Cases/
1M pop
Deaths/
1M pop
Total
Tests
Tests/
1M pop
Population
World114,193,653+217,3992,532,924+4,30289,760,89221,899,83790,55714,650325.0
1USA29,149,206+12,294523,325+24319,534,8989,090,98315,45587,7251,575356,257,7491,072,168332,277,970
 
Acha kujitetea na kuona watanzania hawana akili. Toeni hizo takwimu za watu walioambukizwa na ni eneo gani limeathirika zaidi ili watanzania wajue wizara inawajali. Watu wengine wamekata tamaa kwa sababu ya maziko.

Kwanza takwimu zingekuwepo watanzania wangejilinda na kulinda wengine. Mbona Italia mwaka Jana Kijiji kizima kilihamia kwa ndugu baada ya ugonjwa huu kuwashambulia? Na walipona.

Wewe subiri yakukute utajua uchungu wa ndugu ulivyo.

Hizo barakoa walizosema watu wavae bila maelezo ya kutosha ni za Nini?

Wabongo wanajifanya na midomo tu wakati vitendo hakuna. Utamwona hapa Jamii forum anajibu mambo ya maabara ukimwambia asome kipimo Cha homa au malari haju.

Madoctor chonde chonde analieni hali ya watanzania muungane muwaambie umma. Umma utawaidia Kama tatizo la corona lipo.
 
Kama hukwenda shule nani wa kulaumiwa?
Jamani huyu biden hana masihara.alikuwa mwenyekiti wa congress(bunge) la marekani kama mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nchi za nje kwa miaka 25.taarifa ya ubalozi yawao ya kututaka kutoa takwimu na ya chanjo ya corona siyo ya kupuuzia.wana maana yao.wasiwasi wangu wasije kutuwekea vikwazo vya kiuchumi kama iran.tutoe data,tulete hizo chanjo,wataalamu wetu wamejaa watafanya utafiti wao.huu ni wivu wa kuingia uchumi wa kati ,umetuletea maadui wengi na haswa nchi za ndugu zetu yaani za kiafrika.tutambue kuwa marekani sio urusi,wala china,wala ufaransa.
 
Unapata shida kutokana na ignorance yako ya kinachoendelea duniani hasa kwenye ulimwengu wa kiroho

Unapata shida koz unataka kujiona wewe ni mzungu mweusi kwamba wazungu ni wema....

Unaweza kuwa na bichwa la kuamini kuwa ugonjwa huu sio wa kutengeneza maabara na hawakufanya makusudi....

U might be mpumbavu kujua kuwa ugonjwa huu ni recipe for a Great Reset

Unakuwa mpumbavu kuelewa kuwa lockdown inalenga kuua uchumi ili tuingizwe kwenye ukomunist... tuaubudu serikali na sio Mungu.

Google pamoja na ugumu wa kichwa chako juu ya mask mbaya aliziziongelea Magu sasa hivi dunia na wazungu wanalia...

Upumbavu ni kipaji[emoji3][emoji3][emoji3]
 
WHO.... the Globalists organization
 
Why the measures you are trying to prescribe to Tanzania, haven't saved life in the USA? Kindly please leave us alone!!!! Just advise USA citizens the way you would like!
For your information we are more than safe in Tanzania! Mass testing have not saved your country, may be vaccination will do!! For our case God is our shield!! I don't expect you to understand this! But the outcome of our dependency to God will be plain before your eyes! It's only the matter of time!
God saved us in 2020, He will do the same in 2021!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…