Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

Waambie wakatafute maji Texas kwanza kabla ya kuvamia ya Tanzania.
 
Mhhh carot and a stick! $16.4 million spent? in hand Billions floating(baited).
Nimeona sehemu kadhaa ikiwemo na intaneti ya kuwa kwa Balozi kuna takwimu zinaonyesha "Waa frika Wamarekani" pamoja na makundi mengine wamekufa kwa wingi vilevile zinaonyesha wengi hasa weusi walirudishwa majumbani pamoja na kuwa positive na sasa pamoja na kuwa na takwimu pamoja na kubandika takwimu hizi hadharani kwa neno la "accountability" zinaonyesha hao hao walioathirika kiuchumi kiafya bado hawajapewa hizo chanjo?

Je Mkipewa hizi takwimu ziatusaidia vipi huku sisi? mbona huko kwenu huko pamoja na takwimu bado watu weusi wanakufa kwa wingi na bado chanjo hazijawafikia!

Charity starts at home.
Karibu Tanzania
 
Sina muda wa kupoteza na upuuzi kama huu wako.
 
Ni vyema ujue tafsiri sahihi ya maneno, kabla ya kutengeneza Title ya Posts zako.

Urge maana yake ni kuagiza?

ubalozi hauna mamlaka ya kuagiza nchi. Ni kinyume na sheria za kidiplomasia zinazosisitiza kutoingilia mambo ya ndani ya nchi.
 
Hamna Corona lakini lazima kampuni za kutengeza madawa na chanjo zichape hela.
 
Tatizo tuna rais anayefikiri kuwa ukishakuwa rais basi wewe ndio mtaalamu wa kila kitu. Mtu anazusha mambo ya ajabu ambayo hawezi kamwe kuthibitisha. Very hopeless indeed.
 
Hatuna haja ya kupeleka mambo yetu nje...

Tutakaa na takwimu zetu na tutajilinda kivyetu vyetu...
 
Hautauzi upuuzi wa kuamini kuwa wazungu wanakupenda na hawana nia ya kutuua...

Worse than slavery... mental slavery
Ngoja nimalizane na wewe, halafu nikuache na ukilaza wako.

Kwa nini unataka "wazungu wakupende", wewe ni malaya?

Hiyo "nia ya kuwaua" kwani nini kitawashinda wakitaka kuwaua?

Mbona nyinyi hamsiti kuwaua waTanzania wenzenu kwa sababu za kipuuzi kabisa!

Uwezo wako wa kuelewa haya mambo ni mdogo sana. Ni kazi isiyokuwa na manufaa kuendelea kujadili lolote na mpuuzi.
 
Nathani kua mch
Nadhani kuna mchezo mchafu dhidi ya watu weusi huko ughaibuni. Hapa Afrika watu weusi hawajaathirika Sana, lakini huko ulaya wanakufa kuliko wazungu, kwa nini??
 
Ndivyo wanavyoanza hivyo ili wakija kuwapiga bunny msiseme mmeomewa au wakija mshitaki Meko asiseme akuambiwa
Wamshitaki kwa lipi? Kuna kuna kushiakiwa basi ashitakiwe Yule ambaye Taifa lake wamekufa wengi kwa korona!!
 
Corona virus is a moving target!
Wazungu wamepigwa chenga ya mwil na corona!! Wametumia pesa nyingi kutengeneza chanjo dhidi ya covid 19 lakini kabla hawajaiuza vilivyo, corona amejigeuza Mara nyingi na chanjo hiyo kwa sasa haina uhakika kama itamdhibiti corona kama walivyotarajia! Kwa hiyo wako kwenye harakati za kubambikizia ili zinunuliwe! Afrika ya kusini alikuwa ameagiza mamilioni ya chanjo na ameshimdwa kuitumia baada ya kuona udhibiti wake dhidi ya Corona mpya ni mdogo Sana!
Mpaka sasa hakuna uhakika kama mtu akichanjwa hiyo chanjo itasaidia kwa kwa muda mrefu kiasi gani!! Wanataka watufanyie majaribio!! Tunasema hapana!!
 
Halafu huyu balozi wa Marekani namshauri arudi kwao!! Si anasema huku kwetu kuna corona kwao nini haondoki! Mwongo mkubwa huyu!! Amekimbia corona kwao na anafurahia usalama uliopo Tanzania halafu hana hata shukrani!!
 
Ingekuwa enzi ya JK Sasa hivi wote tungekuwa tumechanjwa chanjo ya COvid-19.

Na alivykuwa sharp tungekuwa Taifa la kwanza Afrika kuchanja. Bahati mbaya tuna "Mchunga ng'ombe'. Kuficha malazi na takwimu sahihi anaita uzalendo Wakati watu wanaangamia.
Wewe jamaa jiangalie sana wewe una akili kuliko watanzania mil.60 wala sio msemaji wa serikali.je ukija kukuta chanjo hiyo inamadhara kweli utarudi hapa jf kuomba radhi?
 
Imekaa Poa..
 
Hivi Balozi wetu kule USA naye huwa anajiingiza kwenye mambo ya ndani ya USA? Kama sivyo kwa nini huyu ana kiherehere?
 
Wewe jamaa jiangalie sana wewe una akili kuliko watanzania mil.60 wala sio msemaji wa serikali.je ukija kukuta chanjo hiyo inamadhara kweli utarudi hapa jf kuomba radhi?
Mkuu, umechanja chanjo nyingi Sana ambazo zimekusaidia usiwe mlemavu aidha wa akili au mwili,usipate pepoounda,tetekuwanga,surua,n.k

Na pengine hata magonjwa niliyoyataja huyajui. Zote hizi ni chanjo walizoleta hao hao. Alafu mtu mmoja aseme hazifai kwa sababu zake binafsi bila ushahidi wa kisayansi?
 
Hatutaki watupende ama wasitupende.. we need to live our life na ku handle ugonjwa tunavyotaka. ..

Sasa nyinyi na ujinga wenu wa wazungu wangetaka kutuua as if hawajawahi kutuua ndio mpunguze kujipendekeza kwa wazungu kwa kauli zenu za kishoga.....

Mimi ni chadema hivyo chama changu hakihusiki na mauaji yoyote....

Acha kujipendekeza kwa wazungu...

They are not angels...
Na ndio waliotengeneza huu ugonjwa.

UN na WHO ni NGO za akina Rothschild na Soros... hazina wema wowote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…