Ubalozi wa Marekani wasema wapo na JF kwenye kukuza Citizen Journalism

Ubalozi wa Marekani wasema wapo na JF kwenye kukuza Citizen Journalism

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Ubalozi wa Marekani ni wageni kwenye sherehe ya kutoa tuzo za Stories of Change, Balozi Battle ametoa hotuba nzuri.
Screenshot_20231007-205731.jpg
 
Hao wanataka kupenyeza ushoga tu hakuna lingine. Hata rais wao alwahi kututukana kuwa sisi ni watu wa nchi za shit hole
Kweli hawa watu bado wana dharau
 
Hao wanataka kupenyeza ushoga tu hakuna lingine. Hata rais wao alwahi kututukana kuwa sisi ni watu wa nchi za shit hole
Kweli hawa watu bado wana dharau

Anayeleta hoja za ushoga pasipo husika huwa ana element za ushoga.
 
Back
Top Bottom