Ubalozi wa Princess Tiffah uliomnufaisha mamilioni

Huyo ndo mwanamme aliyejiandaa kuwa baba sio wengine wanazaa bila kujua watawafanyia nini wanao ni wanaume wachache sana wa kitanzania wenye akili kama diamond so diamond keep on going we ni challenge kwa wanaume wengine hasa wasanii
 
Sasa junior account si anahifadhiwa hela zake zitakazomsaidia baadae
kwa Ada za shule na mahitaji mengine, ni jambo la akili na ni zuri sana

Yeah..ni initiative nzuri kuanza kuandaa future ya mtoto
ila hata hbaba nae kafanya vizuri kwa levo ya uchumi wake manake kuna wazazi wangapi wanashindwa kununulia watoto nguo tu ingawa wana mapesa kibao.kibongobongo kumnunulia kiwanja mwanao pia ni jambo zuri tu...all depends on z income levels..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…