PostGE2025 Ubalozi wa Ufaransa: Tunaungana na watanzania kuomba uponyaji na amani ya kudumu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Ingawa maisha yanaendelea kama kawaida, Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania unatoa pole zake kwa watanzania. Tunaungana na watanzania kuomba uponyaji na amani ya kudumu ambayo hupatikana tu kupitia heshima ya pande zote, kuelewana na haki🇹🇿❤️‍🩹

Si udhaifu kutafuta msaada, afya yako ya akili ni muhimu kama afya yako ya mwili.


​
 
Ufaransa maombi peke yake hayatoshi. Actions ili watu watende haki. Actions!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…