Ubalozi wa Ufaransa waonya kuhusu tishio la shambulizi la kigaidi Kenya

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Ubalozi wa Ufaransa nchini Kenya umeonya kuhusu tishio la shambulizi la kigaidi dhidi ya raia wa Magharibi wanaoishi nchini Kenya.

Katika tahadhari siku ya Alhamisi, ubalozi wa Ufaransa uliwaonya raia wake kuwa waangalifu zaidi.

Ilisema kuna "kuendelea kwa vitisho vikali" na hatari ya maeneo ya umma, yanayotembelewa na raia wa kigeni kulengwa.

Ilitaja migahawa na hoteli, kumbi za starehe, maduka makubwa hasa katika mji mkuu Nairobi - na kushauri watu kuepuka kuzitembelea ikiwa ni pamoja na mwishoni mwa juma hili. Balozi za Uholanzi na Ujerumani pia zimewataka raia wao kuwa macho.
 
Chanzo cha habari plz
 
Hakika hapo pataripuka,
Halafu watasema si tulusema?
Wazungu si watu wazuri
Wanatuchezea sana
 
Back
Top Bottom