DaahWakuu hii habari ni ya kweli?View attachment 3297973
Nimeenda kuhakikisha ni kweli ubalozi wa Urusi nchini Kenya wamepost hii picha Facebook π€£π€£π€£π€£
Xi Jinping umeielewa hii?View attachment 3297980
Ujumbe wa picha kwamba vita vya kibiashara kati ya USA na China vinaiweka ulaya njia panda huku Urusi ikitavuna pepcon taratibu ikitazama mechi ππ€£π€£π€£ oyaaa admin kavurugwa
Urusi amekaa anaangalia kinachoendelea hapo uwanjani....Nimeenda kuhakikisha ni kweli ubalozi wa Urusi nchini Kenya wamepost hii picha Facebook π€£π€£π€£π€£
Xi Jinping umeielewa hii?View attachment 3297980
Ujumbe wa picha kwamba vita vya kibiashara kati ya USA na China vinaiweka ulaya njia panda huku Urusi ikitavuna pepcon taratibu ikitazama mechi π
UshuruHivi Tariff kwa kiswahili tuiteje?
Wataalamu neno moja tu
TaxUshuru
Naona mmoja kaandika kwenye uziUshuru
Yesu na mariamu π€£π€£Naona mmoja kaandika kwenye uzi
Vilipizi π π€£
TozoHivi Tariff kwa kiswahili tuiteje?
Wataalamu neno moja tu