Ubalozi wa USA Tanzania unahusika katika vikwazo hivi

hayaland

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
712
Reaction score
399
Naamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea.

Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
 
Alafu ikusaidie kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hutaki ubalozi wao uhusike ulitaka nani mwingine ahusike?! hujui ubalozi wao ndio jicho la serikali yao? Lumumba poleni, mmeguswa kidogo tu mnalia toka jana, kumbe vurugu zenu nchi hii ni kuwaonea wapinzani tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukamatwa kwa Maxence Mello kunahusika aslimia 5, sheria ya makosa ya mtandao asilimia 5, kutekwa na kuuawa watu asilimia 90.
 
Naamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea.

Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
Wamesema Wana ushahidi wa kutosha, Sasa Kama serikali inabisha waweke ushahidi wazi
 
Serikali yako ndio inapaswa kuweka wazi madudu ya mkuu wako wa mkoa Kama yapo ili kumuwajibisha. Wao wamarekani hawajazuia mamlaka ya mkoa isipokuwa individual person. Na wameweza kufanya kile wanachokiamini NI sahihi. Labda tujue makonda alikuwa anaenda US jufanyaje?
 
Huenda huyu nae ni msomi kaandika bandiko ambalo halieleweki kabisa. Wasomi wa siku hizi ni majanga sana hata sijui wa wakulaumiwa ni nani.
 
Naamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea.

Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
Kwanza mimi naona USA wamemwonea sana Makonda - kwa nini wamemzuia yeye na mke wake peke yake wakati kuna wengi tu kama Makonda? Nina mpango wa kuwaandikia USA vikwazo hivi vipelekwe pia kwa watu walioko ofisi zifuatazo;
- Ikulu
- Bunge
- Jeshi la Polisi
- TISS
- CCM
 
Mmarekani tukimpa mgodi mmoja tu wadhahabu, mmoja wa Uranium na kitalu kimoja cha gas ataacha kabisa hizi kelele na sisi tutaendelea na mambo yetu, USA yuko kwa ajili ya maslahi na sio kutetea mtu. Ukiona anapiga makelele ujue kuna mahala kwenye maslahi yake hapako sawa. Wapinzani wa Tanzania kama mnamtegemea USA mjue mmeliwa.

Pale kwenye the scramble of Libya, kule misrata visima vyote anamiliki mmarekani na hakuna mbun'go inayokatiza kule, The same to Iraq, Pale Saudia kwa MBS anajikamulia tu mafuta yake kupitia Saudi Aramco na mwisho wa siku anamuuzia Saudia silaha aimarishe ulinzi na kuwatwanga waarabu wenzie..
 
Back
Top Bottom