Alafu ikusaidie kitu gani?Naamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea.
Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
Ubalozi wao ndio Marekani, na ndio sikio na macho yao.
Hahaha USA baby imeleta kizaazaa kwenye familia ya Meko.
Wamesema Wana ushahidi wa kutosha, Sasa Kama serikali inabisha waweke ushahidi waziNaamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea.
Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
Kwanza mimi naona USA wamemwonea sana Makonda - kwa nini wamemzuia yeye na mke wake peke yake wakati kuna wengi tu kama Makonda? Nina mpango wa kuwaandikia USA vikwazo hivi vipelekwe pia kwa watu walioko ofisi zifuatazo;Naamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea.
Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
Kwanza mimi naona USA wamemwonea sana Makonda - kwa nini wamemzuia yeye na mke wake peke yake wakati kuna wengi tu kama Makonda? Nina mpango wa kuwaandikia USA vikwazo hivi vipelekwe pia kwa watu walioko ofisi zifuatazo;
- Ikulu
- Bunge
- Jeshi la Polisi
- TISS
- CCM