Ubanaji wa matumizi ya Fedha za Serikali tuanze na viongozi wenyewe ndipo tutafanikiwa

Ubanaji wa matumizi ya Fedha za Serikali tuanze na viongozi wenyewe ndipo tutafanikiwa

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Bajeti kuu ya mwaka huu 2022/2023 chini ya Serikali ya awamu 6 imedhamiria kubana matumizi ya fedha za umma kwa vitendo na kuhakikisha thamani ya fedha kwa kila mradi unao endelea nchini.

Suala la kubana matumizi ya fedha za umma unapaswa uanzie kwa kila kiongozi aliye pewa dhamana kwenye eneo lake/sekta yake; Meaziri, manaibu, makatibu wakuu pamoja na watendaji mbalimbali wa Serikali.

Kiongozi atakaye shindwa kusimamia fedha na umma ktk eneo lake na kusababisha ubadhirifu au ufujaji tunashauri sio tu awajibishwe bali afikishwe/wafikishwe ktk vyombo vya sheria kwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufilisiwa.
 
Ukiamini porojo za hiyo unayoita serikali basi wewe utaamini chochote tu.
 
Back
Top Bottom