Ubandikaji wa matangazo kwenye miundombinu ya Serikali upigwe marufuku

Ubandikaji wa matangazo kwenye miundombinu ya Serikali upigwe marufuku

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,313
Reaction score
6,895
Habarini,

Kuna tabia imekua ikinikera miaka nenda rudi.

Serikali inakazana kuunda miundo mbinu na kuifanyia finishing nzuri ili uliwe na mwonekano mzuri na kuvutia lakini baada tu ya mradi kuanza watu wasiojua uzuri na waliokosa ustaarabu wanaanza kubandika sticker za matangazo ya kampeni, mikesha, dawa za asili na ajira.

Ombi langu iundwe sheria kali kwa atakayefanya hivi hii itasaidia usimamizi wa miundo mbinu na pia kuleta mvuto wa mwonekano wa miradi kama ilivyokusudiwa.
 
Back
Top Bottom