Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Waungwana salaam
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu hivyo kila chama kimejiandaa kikamilifu kushiriki. Kwa upande wa ccm ni wazi na bayana kuwa Rais Magufuli atapitishwa kutetea nafasi yake.
Lakini kwa upande wa upinzani hasa chama kikuu cha upinzani CHADEMA hii ndiyo top 5 ya watu wanaopigiwa chapuo kupeperusha bendera katika ngazi ya urais.
1. Tundu Antiphas Mughwai Lissu
2.Lazaro Nyalandu
3. Zitto Zuberi Kabwe
4. Benard Membe
5. Freeman Aikaeli Mbowe.