Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
The best three presidential material personnel ni;Waungwana salaam
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu hivyo kila chama kimejiandaa kikamilifu kushiriki. Kwa upande wa ccm ni wazi na bayana kuwa Rais Magufuli atapitishwa kutetea nafasi yake. Lakini kwa upande wa upinzani hasa chama kikuu cha upinzani CHADEMA hii ndiyo top 5 ya watu wanaopigiwa chapuo kupeperusha bendera katika ngazi ya urais.
1. Tundu Antiphas Mughwai Lissu
2.Lazaro Nyalandu
3. Zitto Zuberi Kabwe
4. Benard Membe
5. Freeman Aikaeli Mbowe.
Akili za watanzania za ajabu sana muda wao unapotea kwenye mambo yasiyo na tija kwa familia zaoWaungwana salaam
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu hivyo kila chama kimejiandaa kikamilifu kushiriki. Kwa upande wa ccm ni wazi na bayana kuwa Rais Magufuli atapitishwa kutetea nafasi yake. Lakini kwa upande wa upinzani hasa chama kikuu cha upinzani CHADEMA hii ndiyo top 5 ya watu wanaopigiwa chapuo kupeperusha bendera katika ngazi ya urais.
1. Tundu Antiphas Mughwai Lissu
2.Lazaro Nyalandu
3. Zitto Zuberi Kabwe
4. Benard Membe
5. Freeman Aikaeli Mbowe.
Waungwana salaam

Namba 1 itawezekanaje wakati yuko nje ya nchi? Namba 3 na 4 kwani ni wanachama wa CHADEMA?. Kwa hiyo wanaobaki hapo ni Namba 2 na 5; labda tumwongeze Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzaniWaungwana salaam
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu hivyo kila chama kimejiandaa kikamilifu kushiriki. Kwa upande wa ccm ni wazi na bayana kuwa Rais Magufuli atapitishwa kutetea nafasi yake. Lakini kwa upande wa upinzani hasa chama kikuu cha upinzani CHADEMA hii ndiyo top 5 ya watu wanaopigiwa chapuo kupeperusha bendera katika ngazi ya urais.
1. Tundu Antiphas Mughwai Lissu
2.Lazaro Nyalandu
3. Zitto Zuberi Kabwe
4. Benard Membe
5. Freeman Aikaeli Mbowe.
The best three presidential material personnel ni;
1. Tundu A.M. Lissu
2. Zitto Z. R. Kabwe
3. Bernard K. Member
Any of these, kampeni zitakuwa patashika nguo kuchanika..!!
Ikitokea Tundu Lissu kapitishwa kupeperusha Bendera ya UKAWA/CHADEMA, historia itaandikwa ikiwa na kichwa kikuu;
"....KUTOKA KUPIGWA RISASI 16 HADI KUWA RAIS WA JMT...."
This is beautiful....!!
JANUARI MAKAMBAWaungwana salaam
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu hivyo kila chama kimejiandaa kikamilifu kushiriki. Kwa upande wa ccm ni wazi na bayana kuwa Rais Magufuli atapitishwa kutetea nafasi yake. Lakini kwa upande wa upinzani hasa chama kikuu cha upinzani CHADEMA hii ndiyo top 5 ya watu wanaopigiwa chapuo kupeperusha bendera katika ngazi ya urais.
1. Tundu Antiphas Mughwai Lissu
2.Lazaro Nyalandu
3. Zitto Zuberi Kabwe
4. Benard Membe
5. Freeman Aikaeli Mbowe.
Akili za watanzania za ajabu sana muda wao unapotea kwenye mambo yasiyo na tija kwa familia zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kiwango chako ni level ya kufikiria mambo ya familia, hapa hapakuhusu, wengine wako level ya kitaifa. kwenye familia tumeshatoka
Yaani aongezwe Bulaya?!!Namba 1 itawezekanaje wakati yuko nje ya nchi? Namba 3 na 4 kwani ni wanachama wa CHADEMA?. Kwa hiyo wanaobaki hapo ni Namba 2 na 5; labda tumwongeze Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani
Bado sijamuona wa maana hapo,hawa wote hawana tofauti, kuna wezi,waongo,wapenda totoz,wenye mihemuko.Waungwana salaam
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu hivyo kila chama kimejiandaa kikamilifu kushiriki. Kwa upande wa ccm ni wazi na bayana kuwa Rais Magufuli atapitishwa kutetea nafasi yake.
Lakini kwa upande wa upinzani hasa chama kikuu cha upinzani CHADEMA hii ndiyo top 5 ya watu wanaopigiwa chapuo kupeperusha bendera katika ngazi ya urais.
1. Tundu Antiphas Mughwai Lissu
2.Lazaro Nyalandu
3. Zitto Zuberi Kabwe
4. Benard Membe
5. Freeman Aikaeli Mbowe.
NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOYaani aongezwe Bulaya?!!